Kanali mstaafu Lubinga amewataka viongozi wa ccm Lushoto na Mkinga kuimarisha mashina ya CCM.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga amewataka viongozi wa mashina ya Chama, katika wilaya za Lushoto na Mkinga mkoani Tanga, kuimarisha mashina ya CCM kwa kuongeza wanachama. Akizungumza kwa nyakati tofauti akiwa katika ziara ya kutembelea mashina ya Chama katika wilaya hizo, Lubinga alitoa wito wa mashina